Mwenzetu Mr. Ben amefiwa na Mama yake Mzazi. Kama ilivyo jadi yetu kusaidiana, unaombwa kutoa rambirambi kwa utakavyojaliwa. Tuma mchango walo kwa namba hii: +255 713 381 949 - Irene Ishengoma
Baada ya kutuma jaza taarifa za muamala wako hapo chini na Updates zitatokea mda huohuo.
Note: Malipo yatakuwa na Status ya "Pending Approval". Pale mkusanyaji atakapothibitisha/atakapoona muamala wako, utaona Status ya "Approved". Asante sana kwa ushirikiano wako na moyo wa kutoa. Ubarikiwe.